Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 3:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Lakini muonyane killa siku, maadam iitwapo leo; mmoja wenu asifanywe mgumu kwa udanganyifu wa dhambi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Maadamu hiyo “Leo” inayosemwa katika Maandiko bado inatuhusu sisi, mnapaswa kusaidiana daima, ili mtu yeyote miongoni mwenu asidanganywe na dhambi na kuwa mkaidi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Maadamu hiyo “Leo” inayosemwa katika Maandiko bado inatuhusu sisi, mnapaswa kusaidiana daima, ili mtu yeyote miongoni mwenu asidanganywe na dhambi na kuwa mkaidi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Maadamu hiyo “Leo” inayosemwa katika Maandiko bado inatuhusu sisi, mnapaswa kusaidiana daima, ili mtu yeyote miongoni mwenu asidanganywe na dhambi na kuwa mkaidi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Lakini mtiane moyo mtu na mwenzake kila siku, maadamu inaitwa “Leo”, ili asiwepo hata mmoja wenu mwenye kufanywa mgumu kwa udanganyifu wa dhambi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Lakini mtiane moyo mtu na mwenzake kila siku, maadamu iitwapo Leo, ili asiwepo hata mmoja wenu mwenye kufanywa mgumu kwa udanganyifu wa dhambi.

Tazama sura Nakili




Waebrania 3:13
13 Marejeleo ya Msalaba  

Nae, alipokwisha kufika na kuiona neema ya Mungu akafurahi, akawasihi wote waambatane na Bwana kwa kusudi la moyo.


Kwa maana dhambi, ikipata nafasi kwa iie amri, ilinidanganya, ikaniua kwayo.


mvue kwa khabari ya desturi za kwanza mtu wa zamani, anaeharibiwa kwa kuzifuata tamaa zenye kudanganya;


vile vile kama mjuavyo jinsi tulivyomwonya killa mmoja wemi kama baba amwonavyo mtoto wake, tukiwatieni moyo na kushuhudia,


Bassi, farijianeni kwa maneno haya.


Bassi, farijianeni mkajengeane, killa mtu mwenzake, vile vile kama mnavyofanya.


likhubiri neno, fanya bidii, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, kaonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.


Nawasihini, ndugu, livumilieni neno hili lenye maonyo; maana nimewaandikia kwa maneno machache.


Lakini killa mmoja hujaribiwa akivutwa na kudanganywa na tamaa yake mwenyewe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo