Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 3:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Kwa hiyo nalichukizwa na kizazi hiki nikasema, Ni watu waliopotoka mioyo hawa; hawakujua njia zangu;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Kwa sababu hiyo niliwakasirikia watu hao nikasema, ‘Fikira za watu hawa zimepotoka, hawajapata kamwe kuzijua njia zangu’.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Kwa sababu hiyo niliwakasirikia watu hao nikasema, ‘Fikira za watu hawa zimepotoka, hawajapata kamwe kuzijua njia zangu’.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Kwa sababu hiyo niliwakasirikia watu hao nikasema, ‘Fikira za watu hawa zimepotoka, hawajapata kamwe kuzijua njia zangu’.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Hiyo ndiyo sababu nilikasirikia kizazi kile, nami nikasema, ‘Siku zote mioyo yao imepotoka, nao hawajazijua njia zangu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Hiyo ndiyo sababu nilikasirikia kizazi kile, nami nikasema, ‘Siku zote mioyo yao imepotoka, nao hawajazijua njia zangu.’

Tazama sura Nakili

Waebrania 3:10
20 Marejeleo ya Msalaba  

Na wale kumi waliposikia, wakawakasirikia wale ndugu wawili.

Akawakazia macho pande zote kwa ghadhabu, akiona huzuni kwa ajili ya ugumu wa mioyo yao, akamwambia yule mtu. Nyosha mkono wako. Akaunyosha: mkono wake ukapona ukawa mzima kama wa pili:

Nami, kwa sababu naisema kweli, hamniamini.

Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wuyafanye yasiyowapasa;

Kwa maana, ikiwa kweli ya Mungu imezidi kwa sababu ya uwongo wangu hatta akapata utukufu, mbona mimi nami ningali nikihukumiwa kama ni mwenye dhambi?

Wala msimhuzunishe Roho yule Mtakatifu wa Mungu; kwa yeye mlitiwa muhuri mpaka siku ya ukombozi.

Angalieni, ndugu zangu, usiwe katika mmoja wenu moyo mbovu wa kutokuamini, kwa kujitenga na Mungu aliye hayi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo