Waebrania 2:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19217 Umemfanya mdogo punde kuliko malaika, umemvika taji ya utukufu na heshima, umemweka jua ya kazi za mikono yako; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Ulimfanya tu kidogo kuwa chini ya malaika; umemvika taji ya utukufu na heshima, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Ulimfanya tu kidogo kuwa chini ya malaika; umemvika taji ya utukufu na heshima, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Ulimfanya tu kidogo kuwa chini ya malaika; umemvika taji ya utukufu na heshima, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Umemfanya chini kidogo kuliko malaika; ukamvika taji la utukufu na heshima, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Umemfanya chini kidogo kuliko malaika; ukamvika taji ya utukufu na heshima, Tazama sura |