Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 2:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Maana hakuuweka chini ya malaika ulimwengu ule ujao tunaounena,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Mungu hakuwaweka malaika wautawale ulimwengu ujao, yaani ulimwengu ule tunaoongea habari zake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Mungu hakuwaweka malaika wautawale ulimwengu ujao, yaani ulimwengu ule tunaoongea habari zake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Mungu hakuwaweka malaika wautawale ulimwengu ujao, yaani ulimwengu ule tunaoongea habari zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Mungu hakuuweka ulimwengu ujao ambao tunanena habari zake chini ya malaika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Mwenyezi Mungu hakuuweka ulimwengu ujao ambao tunanena habari zake chini ya malaika.

Tazama sura Nakili




Waebrania 2:5
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na injili hii ya ufalme itakhubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; ndipo ule mwisho utakapokuja.


Maana hapa hatuna mji udumuo, bali twautafuta ule ujao.


na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo,


Lakini, kwa sababu ya ahadi yake tunatazamia mbingu mpya na inchi mpya, ambayo haki itakaa ndani yake.


Malaika wa saha akapiga baragumu, pakawa sauti kuu katika mbingu, zikisema, Falme za dunia zimekwisha kuwa ufalme na Mungu na wa Kristo wake, nae atamiliki hatta milele na milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo