Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 2:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Maana ni hakika, hatwai asili ya malaika, illa atwaa asili ya mzao wa Ibrahimu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Maana ni wazi kwamba yeye hakuja kuwasaidia malaika, bali kama yasemavyo Maandiko: “Anawasaidia wazawa wa Abrahamu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Maana ni wazi kwamba yeye hakuja kuwasaidia malaika, bali kama yasemavyo Maandiko: “Anawasaidia wazawa wa Abrahamu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Maana ni wazi kwamba yeye hakuja kuwasaidia malaika, bali kama yasemavyo Maandiko: “Anawasaidia wazawa wa Abrahamu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Kwa kuwa ni dhahiri kwamba hakuja kusaidia malaika, bali uzao wa Ibrahimu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Kwa kuwa ni dhahiri kwamba hakuja kusaidia malaika, bali uzao wa Ibrahimu.

Tazama sura Nakili




Waebrania 2:16
11 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana kutahiriwa kwafaa kama ukiwa mtendaji wa sharia, lakini ukiwa mvunjaji wa sharia kutahiriwa kwako kumekuwa kutokutahiriwa.


Ahadi zilinenwa kwa Ibrahimu na kwa mzao wake. Hasemi, Kwa uzao, kana kwamba ni watu wengi, bali kana kwamba ni mmoja, Kwa mzao wako, yaani Kristo.


Na kama ninyi ni wa Kristo, bassi, nimekuwa mzao wa Ibrahimu, na wrarithi kwa ahadi.


Maana ni hakika, hao kwa siku chache waliturudi kama walivyoona vema wenyewe; bali yeye kwa faida yetu illi tuushiriki utakatifu wake.


akawaokoe wale ambao kwamba maisha zao zote kwa khofu ya mauti walikuwa katika hali ya utumwa.


Kwa hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, illi afanye suluhu kwa dhambi za watu wake.


Maana wana Adamu humwapia yeye aliye mkuu: na ukomo wa mashindano yote ya maneno ni kiapo, kiyathubutishe.


aliyejuliwa tangu zamani, kabla haijawekwa misingi ya dunia; lakini alifimuliwa mwisho wa zamani kwa ajili yenu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo