Waebrania 2:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 akinena, Nitalikhubiri jina lako kwa ndugu zangu; kati kati ya kanisa nitakuimba, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 kama asemavyo: “Ee Mungu, nitawasimulia ndugu zangu matendo yako. Nitakusifu katika kusanyiko lao.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 kama asemavyo: “Ee Mungu, nitawasimulia ndugu zangu matendo yako. Nitakusifu katika kusanyiko lao.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 kama asemavyo: “Ee Mungu, nitawasimulia ndugu zangu matendo yako. Nitakusifu katika kusanyiko lao.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Yeye anasema, “Nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu; mbele ya kusanyiko nitaimba sifa zako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Yeye husema, “Nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu; mbele ya kusanyiko nitaimba sifa zako.” Tazama sura |