Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 2:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 KWA hiyo imetupasa kuyaangalia zaidi yaliyasikiwa tusije tukayakosa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Kwa hiyo tunapaswa kuzingatia kwa makini yote tuliyosikia, tusije tukayakosa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Kwa hiyo tunapaswa kuzingatia kwa makini yote tuliyosikia, tusije tukayakosa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Kwa hiyo tunapaswa kuzingatia kwa makini yote tuliyosikia, tusije tukayakosa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Kwa hiyo, imetupasa kuwa waangalifu sana kuhusu kile tulichosikia, ili tusije tukakiacha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Kwa hiyo, imetupasa kuwa waangalifu sana kuhusu kile tulichosikia, ili tusije tukakiacha.

Tazama sura Nakili




Waebrania 2:1
25 Marejeleo ya Msalaba  

Hamjafahamu hado, wala hamkumbuki ile mikate mitano kwa wale elfu tano, na vikapu vingapi mlivyookota?


Mna macho, hamwoni; mna masikio, hamsikii? wala hamkumbuki?


Nazo penye udongo mwema, hawa ndio ambao kwamba kwa moyo mzuri na mwema hulisikia neno, wakalishika, wakazaa kwa saburi.


Yawekeni maneno haya masikioni mwenu: kwa maana Mwana wa Adamu anakwenda kutiwa katika mikono ya watu.


Bassi wakatwaa mawe wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.


tena mmeyasahau yale maonyo, yasemayo nanyi kama na wana. Mwanangu, usikudharau kurudi kwake Bwana, Wala, usizimie ukikemewa nae;


Walakini nitajitahidi, illi killa wakati baada ya kufariki kwangu mpate kuyakumbuka mambo haya.


WAPENZI, waraka huu ndio wa pili niwaandikiao ninyi; katika hizo naziamsha nia zenu sali kwa kuwakumbusheni,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo