Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 13:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Hatta twathubutu kusema, Bwana ndiye anisaidiae, sitaogopa: mwana Adamu atanitenda nini?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Ndiyo maana tunathubutu kusema: “Bwana ndiye msaada wangu, sitaogopa. Binadamu atanifanya nini?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Ndiyo maana tunathubutu kusema: “Bwana ndiye msaada wangu, sitaogopa. Binadamu atanifanya nini?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Ndiyo maana tunathubutu kusema: “Bwana ndiye msaada wangu, sitaogopa. Binadamu atanifanya nini?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Kwa hiyo tunaweza kusema kwa ujasiri, “Mwenyezi Mungu ni msaada wangu; sitaogopa. Mwanadamu anaweza kunitenda nini?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Kwa hiyo tunaweza kusema kwa ujasiri, “Mwenyezi Mungu ni msaada wangu; sitaogopa. Mwanadamu anaweza kunitenda nini?”

Tazama sura Nakili

Waebrania 13:6
29 Marejeleo ya Msalaba  

Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho: afadhali mmwogopeni yule awezae kuangamiza mwili na roho pia katika jehannum.

Bassi, na tuseme nini baada ya hayo? Mungu akiwa upande wetu, nani aliye juu yetu?

Katika yeye tuna ajasiri na uwezo wa kukaribia katika tumaini kwa njia ya imani yake.

Bassi, ndugu, kwa kuwa tuna ujasiri wa kupaingia patakatifu kwa damu ya Yesu,

Bassi na tukikaribie kiti cha neema kwa nthubuitifu, illi tupewe rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo