Waebrania 13:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192119 Nami nawasihini zaidi sana kufanya hayo illi nirudishwe kwenu upesi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Ninawasihi zaidi mniombee ili nipate kurudishwa kwenu upesi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Ninawasihi zaidi mniombee ili nipate kurudishwa kwenu upesi. Tazama sura |