Waebrania 13:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 Kwa ajili hii Yesu nae, illi awatakase watu wake kwa damu yake miwenyewe, alitesyia nje ya mlango. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Ndiyo maana Yesu pia, kusudi apate kuwatakasa watu kwa damu yake mwenyewe, aliteswa na kufa nje ya mji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Ndiyo maana Yesu pia, kusudi apate kuwatakasa watu kwa damu yake mwenyewe, aliteswa na kufa nje ya mji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Ndiyo maana Yesu pia, kusudi apate kuwatakasa watu kwa damu yake mwenyewe, aliteswa na kufa nje ya mji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Vivyo hivyo, Isa naye aliteswa nje ya lango la mji ili awatakase watu kwa damu yake mwenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Vivyo hivyo, Isa naye aliteswa nje ya lango la mji ili awatakase watu kwa damu yake mwenyewe. Tazama sura |