Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 13:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Maana nyama wale ambao damu yao ludetwa ndani ya patakatifu na kuhani mkuu kwa ajili ya dhambi, viwiliwili vyao huteketezwa nje ya kituo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Kuhani mkuu wa Kiyahudi huleta damu ya wanyama katika Mahali Patakatifu na kuitoa tambiko kwa ajili ya dhambi; lakini nyama za hao wanyama huteketezwa nje ya kambi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Kuhani mkuu wa Kiyahudi huleta damu ya wanyama katika Mahali Patakatifu na kuitoa tambiko kwa ajili ya dhambi; lakini nyama za hao wanyama huteketezwa nje ya kambi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Kuhani mkuu wa Kiyahudi huleta damu ya wanyama katika Mahali Patakatifu na kuitoa tambiko kwa ajili ya dhambi; lakini nyama za hao wanyama huteketezwa nje ya kambi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kuhani mkuu huchukua damu ya wanyama na kuiingiza Patakatifu pa Patakatifu, kama sadaka ya dhambi, lakini miili ya hao wanyama huteketezwa nje ya kambi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kuhani mkuu huchukua damu ya wanyama na kuiingiza Patakatifu pa Patakatifu, kama sadaka ya dhambi, lakini miili ya hao wanyama huteketezwa nje ya kambi.

Tazama sura Nakili

Waebrania 13:11
13 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo