Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 13:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Tuna madhbahu ambayo wale waikhudumiao khema bawana rukhusa kula vitu vyake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaotumikia bado katika hema la Wayahudi hawana haki ya kula vitu vyake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaotumikia bado katika hema la Wayahudi hawana haki ya kula vitu vyake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaotumikia bado katika hema la Wayahudi hawana haki ya kula vitu vyake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaohudumu katika hema hawana haki ya kula vile vitu vilivyowekwa juu yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaohudumu katika hema hawana haki ya kula vile vitu vilivyowekwa juu yake.

Tazama sura Nakili

Waebrania 13:10
7 Marejeleo ya Msalaba  

Sivyo, lakini vitu vile wavitoavyo mataifi, wavitolea mashetani, wala si Mungu; nami sipendi ninyi kushirikiana na mashetani.

Hamjui ya kuwa wale wazifanyao kazi za hekaluni hula sehemu ya vitu vya hekalu, na wale waikhudumiao madhbahu huwa na fungu lao katika vitu vya madhbahu?

watumikao kwa mfano na kivuli cha mambo ya mbinguni, kama Musa alivyoagizwa na Mungu, alipokuwa tayari kuifanya ile khema; maana asema, Angalia ukavifanye vitu vyote kwa mfano ule ulioonyeshwa katika mlima.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo