Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 12:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Bassi kama mkiwa hamna kurudiwa walikoshiriki wote, mmekuwa wana wa haramu ninyi, wala si wana wa halali.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Lakini msipoadhibiwa kama wana wengine, basi, nyinyi si wanawe, bali ni wana haramu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Lakini msipoadhibiwa kama wana wengine, basi, nyinyi si wanawe, bali ni wana haramu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Lakini msipoadhibiwa kama wana wengine, basi, nyinyi si wanawe, bali ni wana haramu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kama hakuna kuadibishwa (ambalo ni fungu la watoto wote), basi ninyi ni watoto haramu, wala si watoto halali.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kama hakuna kuadibishwa (ambalo ni fungu la watoto wote), basi ninyi ni watoto wa haramu wala si watoto halali.

Tazama sura Nakili




Waebrania 12:8
5 Marejeleo ya Msalaba  

Tuhukumiwapo, twarudiwa na Bwana, tusipate kupasishwa adhabu pamoja na dunia.


Maana yeye ambae Bwana humpenda, humrudi, Nae humpiga killa mwana amkubaliye.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo