Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 12:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Ni kwa ajili ya kurudiwa mwavumilia; Mungu awatendea kama wana; maana ni mwana yupi asiorudiwa na baba yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Vumilieni adhabu kwani ni mafundisho; Mungu huwatendea nyinyi kama wanawe. Maana ni mwana gani asiyeadhibiwa na baba yake?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Vumilieni adhabu kwani ni mafundisho; Mungu huwatendea nyinyi kama wanawe. Maana ni mwana gani asiyeadhibiwa na baba yake?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Vumilieni adhabu kwani ni mafundisho; Mungu huwatendea nyinyi kama wanawe. Maana ni mwana gani asiyeadhibiwa na baba yake?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Vumilieni taabu kwa ajili ya kufunzwa adabu. Mungu anawatendea ninyi kama watoto wake, kwa maana ni mtoto yupi asiyeadibishwa na mzazi wake?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Vumilieni taabu kwa ajili ya kufunzwa adabu. Mungu anawatendea ninyi kama watoto wake, kwa maana ni mtoto yupi asiyeadibishwa na mzazi wake?

Tazama sura Nakili

Waebrania 12:7
16 Marejeleo ya Msalaba  

wakifanya imara roho za wanafunzi na kuwaonya wakae katika imani, na ya kwamba imetupasa kuingia katika ufalme wa Mungu kwa njia ya shidda nyingi.

Tuhukumiwapo, twarudiwa na Bwana, tusipate kupasishwa adhabu pamoja na dunia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo