Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 12:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Maana yeye ambae Bwana humpenda, humrudi, Nae humpiga killa mwana amkubaliye.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Maana Bwana humpa nidhamu kila anayempenda, humwadhibu kila anayekubali kuwa mwanawe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Maana Bwana humpa nidhamu kila anayempenda, humwadhibu kila anayekubali kuwa mwanawe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Maana Bwana humpa nidhamu kila anayempenda, humwadhibu kila anayekubali kuwa mwanawe.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 kwa sababu Mwenyezi Mungu huwaadibisha wale anaowapenda, na humwadhibu kila mmoja anayemkubali kuwa mwana.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 kwa sababu Mwenyezi Mungu huwaadibisha wale awapendao, na humwadhibu kila mmoja anayemkubali kuwa mwana.”

Tazama sura Nakili




Waebrania 12:6
19 Marejeleo ya Msalaba  

Yu kheri astahimiliye majaribu; kwa sababu akipata kibali ataipokea taji ya uzima, Bwana aliyowaahidia wampendao.


Angalieni, twawaita wenye kheri wao waliovumilia. Mmesikia khabari ya uvumilivu wa Ayub, mmenona mwisho wa Bwana ya kwamba Bwana ni mwenye rehema nyingi, mwenye huruma.


Mimi nawakemea wote niwapendao, na kuwarudi: bassi uwe na bidii, ukatubu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo