Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 12:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 tena mmeyasahau yale maonyo, yasemayo nanyi kama na wana. Mwanangu, usikudharau kurudi kwake Bwana, Wala, usizimie ukikemewa nae;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Je, mmesahau yale maneno ya kutia moyo ambayo Mungu anawataja nyinyi kuwa wanawe? “Mwanangu, usidharau adhabu ya Bwana, wala usife moyo anapokukanya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Je, mmesahau yale maneno ya kutia moyo ambayo Mungu anawataja nyinyi kuwa wanawe? “Mwanangu, usidharau adhabu ya Bwana, wala usife moyo anapokukanya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Je, mmesahau yale maneno ya kutia moyo ambayo Mungu anawataja nyinyi kuwa wanawe? “Mwanangu, usidharau adhabu ya Bwana, wala usife moyo anapokukanya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Nanyi mmesahau yale maneno ya kuwaonya yanayowataja ninyi kuwa wana, yakisema: “Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi Mungu, wala usikate tamaa akikukemea,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Nanyi mmesahau yale maneno ya kuwaonya yanayowataja ninyi kuwa wana, yakisema: “Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi Mungu, wala usikate tamaa akikukemea,

Tazama sura Nakili

Waebrania 12:5
33 Marejeleo ya Msalaba  

Kumbukeni jinsi alivyosema nanyi alipokuwa hajatoka Galilaya, akinena,

Wakakumbuka maneno yake,

Tuhukumiwapo, twarudiwa na Bwana, tusipate kupasishwa adhabu pamoja na dunia.

Na tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia.

Katika hao wamo Humenayo na Iskander, ambao nimempa Shetani wafundishwe wasimtukane Mungu.

Ni kwa ajili ya kurudiwa mwavumilia; Mungu awatendea kama wana; maana ni mwana yupi asiorudiwa na baba yake.

Nawasihini, ndugu, livumilieni neno hili lenye maonyo; maana nimewaandikia kwa maneno machache.

Yu kheri astahimiliye majaribu; kwa sababu akipata kibali ataipokea taji ya uzima, Bwana aliyowaahidia wampendao.

Mimi nawakemea wote niwapendao, na kuwarudi: bassi uwe na bidii, ukatubu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo