Waebrania 12:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192126 Ambae sauti yake iliitemetesha inchi wakati ule: lakini sasa ameahidi akinena, Marra moja tena naitetemesha inchi wala si inchi tu, bali na mbingu pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Wakati ule sauti ilitetemesha nchi, lakini sasa ameahidi: “Nitatetemesha nchi tena, lakini si nchi tu bali pia mbingu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Wakati ule sauti ilitetemesha nchi, lakini sasa ameahidi: “Nitatetemesha nchi tena, lakini si nchi tu bali pia mbingu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Wakati ule sauti ilitetemesha nchi, lakini sasa ameahidi: “Nitatetemesha nchi tena, lakini si nchi tu bali pia mbingu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Wakati ule sauti yake ilitetemesha dunia, lakini sasa ameahidi, “Kwa mara moja tena nitatetemesha si nchi tu bali na mbingu pia.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Wakati ule sauti yake ilitetemesha dunia, lakini sasa ameahidi, “Kwa mara moja tena nitatetemesha si nchi tu bali na mbingu pia.” Tazama sura |