Waebrania 12:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192120 Hatta nyama akiugusa mlima atapigwa mawe au atachomwa kwa mkuki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 kwani hawakuweza kustahimili amri iliyotolewa: “Atakayegusa mlima huu, hata kama ni mnyama, atapigwa mawe.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 kwani hawakuweza kustahimili amri iliyotolewa: “Atakayegusa mlima huu, hata kama ni mnyama, atapigwa mawe.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 kwani hawakuweza kustahimili amri iliyotolewa: “Atakayegusa mlima huu, hata kama ni mnyama, atapigwa mawe.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 kwa sababu hawangeweza kustahimili neno lile lililoamriwa: “Hata mnyama akigusa mlima huu, atapigwa mawe.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 kwa sababu hawangeweza kustahimili neno lile lililoamriwa: “Hata kama mnyama atagusa mlima huu, atapigwa mawe.” Tazama sura |