Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 11:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 (watu ambao ulimwengu haukustahili kuwa nao): walikuwa wakizungukazunguka katika nyika na katika milima na katika mapango na katika mashimo ya inchi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Ulimwengu haukustahili kuwa na watu hao. Walitangatanga jangwani na milimani, wakaishi katika mashimo na mapango ya ardhi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Ulimwengu haukustahili kuwa na watu hao. Walitangatanga jangwani na milimani, wakaishi katika mashimo na mapango ya ardhi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Ulimwengu haukustahili kuwa na watu hao. Walitangatanga jangwani na milimani, wakaishi katika mashimo na mapango ya ardhi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 watu ambao ulimwengu haukustahili kuwa nao. Walizunguka majangwani na milimani, katika mapango na katika mahandaki ardhini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 watu ambao ulimwengu haukustahili kuwa nao. Walizunguka majangwani na milimani, katika mapango na katika mahandaki ardhini.

Tazama sura Nakili

Waebrania 11:38
16 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo