Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 11:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 walizima nguvu za moto, waliokoka na ukali wa upanga. Walitiwa nguvu baada va kuwa dhaifu, walikuwa hodari katika vita, walikimbiza majeshi ya wageni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 walizima mioto mikali, waliepuka kuuawa kwa upanga, walikuwa dhaifu lakini walipata nguvu. Walikuwa hodari katika vita, wakashinda majeshi ya kigeni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 walizima mioto mikali, waliepuka kuuawa kwa upanga, walikuwa dhaifu lakini walipata nguvu. Walikuwa hodari katika vita, wakashinda majeshi ya kigeni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 walizima mioto mikali, waliepuka kuuawa kwa upanga, walikuwa dhaifu lakini walipata nguvu. Walikuwa hodari katika vita, wakashinda majeshi ya kigeni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 wakazima makali ya miali ya moto, na wakaepuka kuuawa kwa upanga; udhaifu wao uligeuka kuwa nguvu; pia walikuwa hodari vitani na kuyafukuza majeshi ya wageni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 wakazima makali ya miali ya moto, na wakaepuka kuuawa kwa upanga; udhaifu wao uligeuka kuwa nguvu; pia walikuwa hodari vitani na kuyafukuza majeshi ya wageni.

Tazama sura Nakili

Waebrania 11:34
36 Marejeleo ya Msalaba  

Nao wataanguka kwa ukali wa upanga, watachukuliwa mateka mpaka mataifa yote: nao Yerusalemi utakanyagwa na mataifa, hatta majira ya mataifa yatakapotimia.

Wapenzi, msione kuwa ni ajahu ule msiba unaowapata kama moto illi mjaribiwe, kana kwamba ni kitu kigeni kiwapatacho;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo