Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 11:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Kwa imani twafahamu ya kuwa ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, hatta vitu vinavyoonekana havikufanywa kwa vitu vilivyo dhahiri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Kwa imani sisi tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu; vitu vinavyoonekana kutoka vitu visivyoonekana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Kwa imani sisi tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu; vitu vinavyoonekana kutoka vitu visivyoonekana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Kwa imani sisi tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu; vitu vinavyoonekana kutoka vitu visivyoonekana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Kwa imani tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, vitu vyote vinavyoonekana havikuumbwa kutoka kwa vitu vinavyoonekana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Kwa imani tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mwenyezi Mungu, vitu vyote vinavyoonekana havikuumbwa kutoka kwa vitu vinavyoonekana.

Tazama sura Nakili




Waebrania 11:3
17 Marejeleo ya Msalaba  

Vyote vyalifanyika kwa huyu. Wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.


Sisi nasi tu wana Adamu hali moja na ninyi; twawakhubiri khabari njema mgenke na kuyaacha mambo haya ya ubatili na kumwelekea Mungu aliye hayi, aliyeumba mbingu na inchi na bahari na vitu vyotc vilivyomo:


Mungu aliyeufanya ulimwengu na vitu vyote vilivyomo, yeye, kwa kuwa ni Bwana wa mbingu na inchi, hakai katika hekalu zilizojengwa kwa mikono:


(kama ilivyoandikwa, Nimekuweka kuwa baba wa mataifa mengi) mbele zake aliyemwamini, yaani Mungu, mwenye kuwahuisha wafu, avitajae vitu visivyokuwa kana kwamba vimekuwa.


bali twanena hekima ya Mungu katika fumbo, ile iliyofichwa, ambayo Mungu aliiazimu tangu asili, kwa utukufu wetu;


kwa kuwa kimetakaswa kwa neno la Mungu na kuomba.


mwisho wa siku bizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi yote, kwa yeye aliufanya ulimwengu.


na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo,


Maana hufumba macho yao wasione neno hili, ya kuwa zilikuwako mbingu tangu zamani, na inchi pia, imefanyizwa kwa maji ikatoka katika maji, kwa neno la Mungu;


Umestahili, Bwana, Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na nweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, vikaumbwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo