Waebrania 11:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192129 Kwa imani wakapita kati ya Bahari ya Sham, kama katika inchi kavu; Wamisri wakaijaribia wakatoswa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Kwa imani watu wa Israeli walivuka bahari ya Shamu kana kwamba ilikuwa nchi kavu; lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo walikufa maji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Kwa imani watu wa Israeli walivuka bahari ya Shamu kana kwamba ilikuwa nchi kavu; lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo walikufa maji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Kwa imani watu wa Israeli walivuka bahari ya Shamu kana kwamba ilikuwa nchi kavu; lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo walikufa maji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Kwa imani, watu walivuka Bahari ya Shamu kama vile juu ya nchi kavu; lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo, walitoswa ndani ya maji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Kwa imani, watu walivuka Bahari ya Shamu kama vile juu ya nchi kavu; lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo, walitoswa ndani ya maji. Tazama sura |