Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 11:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Kwa imani akaifanya Pasaka, na kunyunyiza ile damu, illi mwenye kuwaangamiza wazaliwa wa kwanza asiwaguse wao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Kwa imani aliadhimisha siku ya Pasaka, akaamuru damu inyunyizwe juu ya milango, ili yule Malaika Mwangamizi asiwaue wazaliwa wa kwanza wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Kwa imani aliadhimisha siku ya Pasaka, akaamuru damu inyunyizwe juu ya milango, ili yule Malaika Mwangamizi asiwaue wazaliwa wa kwanza wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Kwa imani aliadhimisha siku ya Pasaka, akaamuru damu inyunyizwe juu ya milango, ili yule Malaika Mwangamizi asiwaue wazaliwa wa kwanza wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Kwa imani akaadhimisha Pasaka na kunyunyiza damu, ili yule mwenye kuwaangamiza wazaliwa wa kwanza asiwaguse wazaliwa wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Kwa imani akaadhimisha Pasaka na kunyunyiza damu, ili yule mwenye kuwaangamiza wazaliwa wa kwanza asiwaguse wazaliwa wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Waebrania 11:28
6 Marejeleo ya Msalaba  

Wala msinungʼunike, kama wengine wao walivyommgʼunika, wakaharibiwa na mharabu.

na Yesu mwenye kuleta agano jipya, na damu ya kunyunyizwa inenayo mema kuliko ile ya Habil.

Maana killa amri ilipokwisha kunenwa na Musa kwa watu wote, kama ilivyoamuru sharia, aliitwaa damu ya ndama na ya mbuzi pamoja na maji na sufu nyekundu na husopo, akakinyunyizia kitabu chenyewe, na watu wote,

kama vile Mungu alivyotangulia kuwajua tangu milele katika utakaso wa Roho, hatta wakapata kutii na kunyunyizwa damu ya Yesu Kristo; Neema na amani ziongezwe kwenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo