Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 11:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Kwa imani Musa, alipozatiwa, akafichwa miezi mitatu na wazazi wake, kwa sababu waliona kwamba ni mtoto mzuri; wala hawakuiogopa amri ya mfalme.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Kwa imani wazazi wa Mose walimficha huyo mtoto kwa muda wa miezi mitatu baada ya kuzaliwa kwake. Walimwona kuwa ni mtoto mzuri, wala hawakuiogopa amri ya mfalme.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Kwa imani wazazi wa Mose walimficha huyo mtoto kwa muda wa miezi mitatu baada ya kuzaliwa kwake. Walimwona kuwa ni mtoto mzuri, wala hawakuiogopa amri ya mfalme.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Kwa imani wazazi wa Mose walimficha huyo mtoto kwa muda wa miezi mitatu baada ya kuzaliwa kwake. Walimwona kuwa ni mtoto mzuri, wala hawakuiogopa amri ya mfalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Kwa imani, wazazi wa Musa walimficha kwa miezi mitatu baada ya kuzaliwa, kwa sababu waliona kuwa si mtoto wa kawaida, wala hawakuiogopa amri ya mfalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Kwa imani, wazazi wa Musa walimficha kwa miezi mitatu baada ya kuzaliwa, kwa sababu waliona kuwa si mtoto wa kawaida, wala hawakuiogopa amri ya mfalme.

Tazama sura Nakili

Waebrania 11:23
16 Marejeleo ya Msalaba  

Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho: afadhali mmwogopeni yule awezae kuangamiza mwili na roho pia katika jehannum.

Wakati huo akazaliwa Musa, nae alikuwa mzuri sana, akalelewa muda wa miezi mitatu katika nyumba ya baba yake.

Hatta twathubutu kusema, Bwana ndiye anisaidiae, sitaogopa: mwana Adamu atanitenda nini?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo