Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 11:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Kwa imani Yusuf, alipokuwa amekaribia mwisho wake, alitaja khabari za kutoka kwao wana wa Israeli, akawaagizia mifupa yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Kwa imani Yosefu alipokuwa karibu kufa, alinena juu ya kutoka kwa Waisraeli katika nchi ya Misri, na pia akawaachia maagizo kuhusu mifupa yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Kwa imani Yosefu alipokuwa karibu kufa, alinena juu ya kutoka kwa Waisraeli katika nchi ya Misri, na pia akawaachia maagizo kuhusu mifupa yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Kwa imani Yosefu alipokuwa karibu kufa, alinena juu ya kutoka kwa Waisraeli katika nchi ya Misri, na pia akawaachia maagizo kuhusu mifupa yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Kwa imani, Yusufu alipokaribia mwisho wa maisha yake, alinena habari za kutoka kwa Waisraeli huko Misri na akatoa maagizo kuhusu mifupa yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Kwa imani, Yusufu alipokaribia mwisho wa maisha yake, alinena habari za kutoka kwa wana wa Israeli huko Misri na akatoa maagizo kuhusu mifupa yake.

Tazama sura Nakili

Waebrania 11:22
5 Marejeleo ya Msalaba  

walioonekana katika utukufu, wakanena khahari ya kufariki kwake atakakotimiza Yerusalemi.

wakachukuliwa hatta Sukem wakazikwa katika kaburi lile, ambalo Ibrahimu alilinunua kwa kimo cha fedha kwa wana wa Emmor, huko Sukem.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo