Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 11:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Kwa imani Isaak akawahariki Yakobo na Esau, hatta katika khabari ya mambo yatakayokuwa baadae.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Kwa imani Isaka aliwabariki Yakobo na Esau, wapate baraka zitakazokuja baadaye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Kwa imani Isaka aliwabariki Yakobo na Esau, wapate baraka zitakazokuja baadaye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Kwa imani Isaka aliwabariki Yakobo na Esau, wapate baraka zitakazokuja baadaye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Kwa imani Isaka aliwabariki Yakobo na Esau kuhusu maisha yao ya baadaye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Kwa imani Isaka aliwabariki Yakobo na Esau kuhusu maisha yao ya baadaye.

Tazama sura Nakili

Waebrania 11:20
3 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo