Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 11:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 naam, yeye aliyeamhiwa, Katika Isaak uzao walio utaitwa,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 ingawa Mungu alikuwa amemwambia: “Wazawa wako watatokana na Isaka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 ingawa Mungu alikuwa amemwambia: “Wazawa wako watatokana na Isaka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 ingawa Mungu alikuwa amemwambia: “Wazawa wako watatokana na Isaka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 hata ingawa Mungu alikuwa amemwambia Ibrahimu, “Uzao wako utahesabiwa kupitia kwa Isaka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Ingawa Mwenyezi Mungu alikuwa amemwambia Ibrahimu, “Uzao wako utahesabiwa kupitia kwa Isaka,”

Tazama sura Nakili




Waebrania 11:18
4 Marejeleo ya Msalaba  

Wala hawawi wote wana kwa kuwa wazao wa Ibrahimu, bali, Katika Isaak wazao wako watakwitwa;


KWA sehemu nyingi na kwa namna nyingi Mungu zamani alisema na babu zetu katika manabii,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo