Waebrania 11:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192114 Maana wasemao maneno kama hayo waonyesha kwa wazi kwamba wanatafuta inchi yao wenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Watu wanaosema mambo kama hayo, huonesha wazi kwamba wanaitafuta nchi yao wenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Watu wanaosema mambo kama hayo, huonesha wazi kwamba wanaitafuta nchi yao wenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Watu wanaosema mambo kama hayo, huonesha wazi kwamba wanaitafuta nchi yao wenyewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Watu wasemao mambo kama haya, wanaonesha wazi kwamba wanatafuta nchi yao wenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Watu wasemao mambo kama haya, wanaonyesha wazi kwamba wanatafuta nchi yao wenyewe. Tazama sura |