Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 11:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Kwa imani hatta Sara mwenyewe alipokea nwezo wa kuwa na mimba, alipokuwa amepita wakati wake; kwa kuwa alimwona yeye aliyeahidi kuwa mwaminifu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Kwa imani hata Sara aliamini kwamba Mungu hutimiza ahadi zake, kwa hiyo akajaliwa kuchukua mimba ingawaje alikuwa amepita umri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Kwa imani hata Sara aliamini kwamba Mungu hutimiza ahadi zake, kwa hiyo akajaliwa kuchukua mimba ingawaje alikuwa amepita umri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Kwa imani hata Sara aliamini kwamba Mungu hutimiza ahadi zake, kwa hiyo akajaliwa kuchukua mimba ingawaje alikuwa amepita umri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kwa imani Ibrahimu, ingawa alikuwa mzee wa umri, naye Sara mwenyewe aliyekuwa tasa, alipokea uwezo wa kuwa baba kwa sababu alimhesabu Mungu aliyemwahidi kuwa mwaminifu na kwamba angetimiza ahadi yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kwa imani Ibrahimu, ingawa alikuwa mzee wa umri, naye Sara mwenyewe aliyekuwa tasa, alipokea uwezo wa kuwa baba kwa sababu alimhesabu Mungu aliyemwahidi kuwa mwaminifu na kwamba angetimiza ahadi yake.

Tazama sura Nakili

Waebrania 11:11
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na tazama, nae Elizabeti jamaa yako, ana mimba ya mtoto mume katika uzee wake: na mwezi hun wa sita kwake yeye aliyekwitwa tassa:

yaani, si watoto wa mwili walio watoto wa Mungu, bali watoto wa ile ahadi wanabesabiwa kuwa wazao.

Lakini yule wa mjakazi alizaliwa kwa mwili, yule wa mwungwana kwa ahadi.

Tulishike sana ungamo la tumaini letu, lisigeuke; maana yeye aliyeahidi ni amini;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo