Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 10:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Ndipo nilisema, Tazama, nimekuja (katika gombo la chuo nimeandikiwa) niyafanye mapenzi yako, Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Hapo nikasema: ‘Niko hapa, ee Mungu, kutimiza matakwa yako kama ilivyoandikwa juu yangu katika kitabu cha sheria.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Hapo nikasema: ‘Niko hapa, ee Mungu, kutimiza matakwa yako kama ilivyoandikwa juu yangu katika kitabu cha sheria.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Hapo nikasema: ‘Niko hapa, ee Mungu, kutimiza matakwa yako kama ilivyoandikwa juu yangu katika kitabu cha sheria.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Ndipo niliposema, ‘Mimi hapa, nimekuja, imeandikwa kunihusu katika kitabu: Nimekuja kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Ndipo niliposema, ‘Mimi hapa, nimekuja, imeandikwa kunihusu katika kitabu: Nimekuja kuyafanya mapenzi yako, Ee Mwenyezi Mungu.’ ”

Tazama sura Nakili




Waebrania 10:7
12 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawaambia, Chakula changu ndicho hiki, niyatende mapenzi yake aliyenipeleka nikaimalize kazi yake.


Mimi siwezi kufanya neno kwa nafsi yangu: kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo, na hukumu yangu ina haki: kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mwenyewe, bali mapenzi yake Baba aliyenipeleka.


Kwa kuwa sikushuka kutoka mbinguni illi niyafanye mapenzi yangu, hali mapenzi yake aliyenipeleka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo