Waebrania 10:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192137 Kwa kuwa bado kitambo kidogo sana, Yeye ajae atakuja, wala hatakawia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Maana kama yasemavyo Maandiko: “Bado kidogo tu, na yule anayekuja, atakuja, wala hatakawia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Maana kama yasemavyo Maandiko: “Bado kidogo tu, na yule anayekuja, atakuja, wala hatakawia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Maana kama yasemavyo Maandiko: “Bado kidogo tu, na yule anayekuja, atakuja, wala hatakawia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Kwa kuwa, “Bado kitambo kidogo tu, yeye ajaye atakuja wala hatakawia.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Kwa kuwa bado kitambo kidogo tu, “Yeye ajaye atakuja wala hatakawia. Tazama sura |