Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 10:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Maana twamjua yeye aliyesema, Kupatiliza kisasi ni juu yangu, mimi nitalipa. Na tena, Bwana atawahukumu watu wake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Maana tunamfahamu yule aliyesema, “Mimi nitalipiza kisasi, mimi nitalipiza,” na ambaye alisema pia, “Bwana atawahukumu watu wake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Maana tunamfahamu yule aliyesema, “Mimi nitalipiza kisasi, mimi nitalipiza,” na ambaye alisema pia, “Bwana atawahukumu watu wake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Maana tunamfahamu yule aliyesema, “Mimi nitalipiza kisasi, mimi nitalipiza,” na ambaye alisema pia, “Bwana atawahukumu watu wake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Kwa kuwa tunamjua yeye aliyesema, “Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza.” Tena asema, “Mwenyezi Mungu atawahukumu watu wake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Kwa kuwa tunamjua yeye aliyesema, “Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza.” Tena asema, “Mwenyezi Mungu atawahukumu watu wake.”

Tazama sura Nakili

Waebrania 10:30
18 Marejeleo ya Msalaba  

Msijilipize kisasi, wapenzi, bali ipisheni ghadhabu; maana imeandikwa, Kisasi juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.

Fanya mema, utapata sifa kwake; kwa kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu kwako kwa ajili ya mema. Lakini ufanyapo mabaya, ogopa; kwa maana hauchukui upanga burre: ni mtumishi wa Mungu, amlipizae kisasi mtenda mabaya kwa ajili ya ghadhabu.

Kwa maana imetupasa sisi sote kudhihirishwa mbele ya kiti cha hukumu ya Kristo, illi killa mtu apokee kadiri alivyotenda kwa mwili, vikiwa vyema au vikiwa vibaya.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo