Waebrania 10:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19213 Lakini katika hizo liko kumbukumbu la dhambi killa mwaka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Lakini tambiko hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Lakini tambiko hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Lakini tambiko hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Lakini zile dhabihu zilikuwa ukumbusho wa dhambi kila mwaka, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Lakini zile dhabihu zilikuwa ukumbusho wa dhambi kila mwaka, Tazama sura |