Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 10:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Mtu aliyeidharau sharia ya Musa, alikufa pasipo huruma, kwa neno la mashahidi wawili au watatu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Mtu yeyote asiyetii sheria ya Mose, huuawa bila huruma kukiwa na ushahidi wa watu wawili au watatu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Mtu yeyote asiyetii sheria ya Mose, huuawa bila huruma kukiwa na ushahidi wa watu wawili au watatu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Mtu yeyote asiyetii sheria ya Mose, huuawa bila huruma kukiwa na ushahidi wa watu wawili au watatu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Yeyote aliyeikataa Torati ya Musa alikufa pasipo huruma kwa ushahidi wa watu wawili au watatu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Yeyote aliyeikataa Torati ya Musa alikufa pasipo huruma kwa ushahidi wa watu wawili au watatu.

Tazama sura Nakili

Waebrania 10:28
17 Marejeleo ya Msalaba  

La, hakusikia, chukua pamoja nawe tena mtu mmoja au wawili, illi kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu killa neno lithubutike.

Na tena katika sharia yenu imeandikwa, Ushuhuda wa watu wawili ni kweli.

Maana alimwambia Musa, Nitamrehemu yeye nimrehemuye, nitamhurumia yeye nimhurumiae.

HII ndio marra ya tatu ya mimi kuja kwenu. Kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu killa neno litathubutishwa.

Angalieni msimkatae yeye anenae. Maana ikiwa wale hawakuokoka waliomkataa yeye aliyewaonya juu ya inchi, sembuse sisi tukijiepusha nae atuonyae kutoka mbinguni:

Kwa maana, ikiwa lile neno lililonenwa na malaika lilikuwa imara, na killa kosa na uasi ulipata ujira wa haki,

Maana hukumu haina huruma kwake yeye asiyeona huruma. Na huruma hujitukuza juu ya hukumu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo