Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waebrania 10:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 na Kuhani mkuu juu ya nyumba ya Mungu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Basi, tunaye kuhani maarufu aliye na mamlaka juu ya nyumba ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Basi, tunaye kuhani maarufu aliye na mamlaka juu ya nyumba ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Basi, tunaye kuhani maarufu aliye na mamlaka juu ya nyumba ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 basi kwa kuwa tunaye Kuhani Mkuu juu ya nyumba ya Mungu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 basi kwa kuwa tunaye Kuhani Mkuu juu ya nyumba ya Mwenyezi Mungu,

Tazama sura Nakili




Waebrania 10:21
12 Marejeleo ya Msalaba  

Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na jun ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; na milango ya kuzimu haitalishinda.


Lakini nikikawia, upate kujua sana jinsi iwapasavyo watu kuenenda katika nyumba ya Mungu iliyo kanisa la Mungu aliye hayi, nguzo na msingi wa kweli.


Kwa hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, illi afanye suluhu kwa dhambi za watu wake.


KWA hiyo, ndugu watakatifu, wenye kuushiriki wito wa mbinguni, mtafakarini sana Mtume na Kuhani Mkuu wa maungamo yetu,


alimoingia Yesu kwa ajili yetu, mtangulizi wetu, amekuwa Kuhani mkuu kwa jinsi ya Melkizedeki hatta milele.


Maana ilipendeza sisi tuwe na kuhani mkuu wa namna hii, aliye mtakatifu, asiokuwa na uovu, asiokuua na waa lolote, aliyetengwa na wakosaji, aliyekuwa juu kuliko mbingu;


BASSI, katika hayo tuuayosema, neno lililo kuu ndilo hili: Tunae kuhani mkuu wa namna hii, aliyeketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha ukuu mbinguni,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo