Waebrania 10:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 Bassi ondoleo la baya lilipo, hapana toleo tena kwa dhambi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Basi, dhambi zikisha ondolewa, hakutakuwa na haja tena ya kutoa tambiko za kuondoa dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Basi, dhambi zikisha ondolewa, hakutakuwa na haja tena ya kutoa tambiko za kuondoa dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Basi, dhambi zikisha ondolewa, hakutakuwa na haja tena ya kutoa tambiko za kuondoa dhambi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Basi haya yaliposamehewa, hakuna tena dhabihu yoyote inayohitajika kwa ajili ya dhambi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Basi haya yakiisha kusamehewa, hakuna tena dhabihu yoyote inayotolewa kwa ajili ya dhambi. Tazama sura |