Waebrania 10:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 akingojea hatta adui zake wawekwe kuwa chini ya miguu yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 anangoja maadui zake wafanywe kama kibao chini ya miguu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 anangoja maadui zake wafanywe kama kibao chini ya miguu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 anangoja maadui zake wafanywe kama kibao chini ya miguu yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Tangu wakati huo anangoja hadi adui zake wawekwe chini ya miguu yake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Tangu wakati huo anangoja mpaka adui zake wawekwe chini ya miguu yake, Tazama sura |