Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 1:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Kwa maana alimwambia malaika yupi wakati wo wote, Mwana wangu ndiwe, mimi leo nimekuzaa? na tena, Mimi nitakuwa kwake baba, na yeye kwangu mwana?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Maana Mungu hakumwambia kamwe hata mmoja wa malaika wake: “Wewe ni Mwanangu; mimi leo nimekuwa Baba yako.” Wala hakusema juu ya malaika yeyote: “Mimi nitakuwa Baba yake, naye atakuwa Mwanangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Maana Mungu hakumwambia kamwe hata mmoja wa malaika wake: “Wewe ni Mwanangu; mimi leo nimekuwa Baba yako.” Wala hakusema juu ya malaika yeyote: “Mimi nitakuwa Baba yake, naye atakuwa Mwanangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Maana Mungu hakumwambia kamwe hata mmoja wa malaika wake: “Wewe ni Mwanangu; mimi leo nimekuwa Baba yako.” Wala hakusema juu ya malaika yeyote: “Mimi nitakuwa Baba yake, naye atakuwa Mwanangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Kwa maana ni kwa malaika yupi Mungu aliwahi kusema, “Wewe ni Mwanangu; leo mimi nimekuwa Baba yako”? Au tena, “Mimi nitakuwa Baba yake, naye atakuwa Mwanangu”?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Kwa maana ni malaika yupi ambaye wakati wowote Mwenyezi Mungu alipata kumwambia, “Wewe ni Mwanangu; leo mimi nimekuzaa”? Au tena, “Mimi nitakuwa Baba yake, naye atakuwa Mwanangu”?

Tazama sura Nakili

Waebrania 1:5
8 Marejeleo ya Msalaba  

kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili, Wewe ndiwe Mwana wangu, mimi leo nimekuzaa.

Vivyo hivyo Kristo nae hakujitukuza nafsi yake kufanywa Kuhani mkuu, lakini yeye aliyenena nae: Mwana wangu ni wewe, Mimi leo nimekuzaa:

Tufuate:

Matangazo

Matangazo