Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waebrania 1:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 na kama mavazi utazizinga, nazo zitabadilika; lakini wewe u yeye yule, na miaka yako haitakoma.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Utazikunjakunja kama koti, nazo zitabadilishwa kama vazi. Lakini wewe ni yuleyule daima, na maisha yako hayatakoma.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Utazikunjakunja kama koti, nazo zitabadilishwa kama vazi. Lakini wewe ni yuleyule daima, na maisha yako hayatakoma.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Utazikunjakunja kama koti, nazo zitabadilishwa kama vazi. Lakini wewe ni yuleyule daima, na maisha yako hayatakoma.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Utazikunjakunja kama joho, nazo zitabadilishwa kama vazi. Lakini wewe hubadiliki, nayo miaka yako haikomi kamwe.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Utazikung’utakung’uta kama joho, nazo zitachakaa kama vazi. Lakini wewe hubadiliki, nayo miaka yako haikomi kamwe.”

Tazama sura Nakili

Waebrania 1:12
8 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambieni, Kabla Ibrahimu hajakuwapo, Mimi nipo.

Yesu Kristo, jana na leo yeye yule na hatta milele.

Killa kutoa kwenia, na killa kitolewacho kilicho kamili, chatoka juu, chashuka kwa Baba wa mianga, kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeukageuka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo