Ufunuo 9:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19219 Na walikuwa na mabamba kifuani kama mabamba ya chuma. Na sauti ya mabawa yao kama sauti ya magari ya farasi wengi waendao kassi vitani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Vifua vyao vilikuwa vimefunikwa kitu kama ngao ya chuma. Sauti ya mabawa yao ilikuwa kama sauti ya msafara wa magari ya farasi wengi wanaokimbilia vitani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Vifua vyao vilikuwa vimefunikwa kitu kama ngao ya chuma. Sauti ya mabawa yao ilikuwa kama sauti ya msafara wa magari ya farasi wengi wanaokimbilia vitani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Vifua vyao vilikuwa vimefunikwa kitu kama ngao ya chuma. Sauti ya mabawa yao ilikuwa kama sauti ya msafara wa magari ya farasi wengi wanaokimbilia vitani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Walikuwa na dirii kama za chuma, na sauti za mabawa yao zilikuwa kama ngurumo za farasi wengi na magari ya vita mengi yakikimbia vitani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Walikuwa na dirii kama za chuma, na sauti za mabawa yao zilikuwa kama ngurumo za farasi wengi na magari mengi yakikimbilia vitani. Tazama sura |