Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 9:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Na walikuwa mi nywele kama nywele za wanawake. Na meno yao yalikuwa kama meno ya simba.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Nywele zao zilikuwa kama nywele za wanawake, na meno yao yalikuwa kama meno ya simba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Nywele zao zilikuwa kama nywele za wanawake, na meno yao yalikuwa kama meno ya simba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Nywele zao zilikuwa kama nywele za wanawake, na meno yao yalikuwa kama meno ya simba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Walikuwa na nywele kama za wanawake, na meno yao yalikuwa kama ya simba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Walikuwa na nywele kama za wanawake, na meno yao yalikuwa kama ya simba.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 9:8
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na kama isaya alivyotangulia kunena, Kama Bwana wa Sabaoth asingalituachia uzao, Tungalikuwa kama Sodoma, tungalifananishwa na Gomora.

Na vivyo hivyo wanawake wajipambe kwa mavazi ya kujisetiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi, si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;

Kujipamba kwao, kusiwe kujipamba kwa nje, ndio kusuka nywele, na kujitia dhahabu, na kuvalia mavazi;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo