Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 9:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Na maumbo ya zile nzige kama farasi waliowekwa tayari kwa vita, na juu ya vichwa vyao kama taji, mfano wa dhahabu, na nyuso zao kama nyuso za wana Adamu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Kwa kuonekana, nzige hao walikuwa kama farasi waliowekwa tayari kwa vita. Juu ya vichwa vyao walikuwa na taji zilizo kama za dhahabu, na nyuso zao zilikuwa kama za binadamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Kwa kuonekana, nzige hao walikuwa kama farasi waliowekwa tayari kwa vita. Juu ya vichwa vyao walikuwa na taji zilizo kama za dhahabu, na nyuso zao zilikuwa kama za binadamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Kwa kuonekana, nzige hao walikuwa kama farasi waliowekwa tayari kwa vita. Juu ya vichwa vyao walikuwa na taji zilizo kama za dhahabu, na nyuso zao zilikuwa kama za binadamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Wale nzige walikuwa na umbo kama la farasi waliotayarishwa kwa ajili ya vita. Kwenye vichwa vyao kulikuwa na kitu kama taji za dhahabu, na nyuso zao zilikuwa kama za binadamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Wale nzige walikuwa na umbo kama la farasi waliotayarishwa kwa ajili ya vita. Kwenye vichwa vyao kulikuwa na kitu kama taji za dhahabu na nyuso zao zilikuwa kama za binadamu.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 9:7
6 Marejeleo ya Msalaba  

Nikaona, na tazama, farasi mweupe, na yeye aliyempanda ana upinde, akapewa taji, akatoka, akishinda na apate kushinda.

Nzige wakatoka katika lile shimo, wakaenda juu ya inchi, wakapewa nguvu kama nguvu za nge wa inchi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo