Ufunuo 9:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Na katika siku zile wana Adamu watatafuta mauti, nao hawataiona. Na watatamaui kufa, na mauti itawakimbia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Muda huo watu watatafuta kifo lakini hawatakipata; watatamani kufa lakini kifo kitawakimbia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Muda huo watu watatafuta kifo lakini hawatakipata; watatamani kufa lakini kifo kitawakimbia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Muda huo watu watatafuta kifo lakini hawatakipata; watatamani kufa lakini kifo kitawakimbia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Katika siku hizo watu watatafuta kifo lakini hawatakiona, watatamani kufa, lakini kifo kitawakimbia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Katika siku hizo watu watatafuta kifo lakini hawatakiona, watatamani kufa, lakini kifo kitawakimbia. Tazama sura |