Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 9:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Na hesabu ya majeshi ya wapanda farasi elfu ishirini marra elfu kumi; nikasikia hesabu vao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Nilisikia idadi ya majeshi wapandafarasi ilikuwa 200,000,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Nilisikia idadi ya majeshi wapandafarasi ilikuwa 200,000,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Nilisikia idadi ya majeshi wapandafarasi ilikuwa 200,000,000.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Idadi ya majeshi wapanda farasi ilikuwa milioni mia mbili. Nilisikia idadi yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Idadi ya majeshi wapanda farasi ilikuwa 200,000,000. Nilisikia idadi yao.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 9:16
7 Marejeleo ya Msalaba  

Nikaona, nikasikia sauti ya malaika wengi pande zote za kile kiti cha enzi, na za wale nyama wenye uhayi, na za wale wazee, na hesabu yao, elfu kumi marra elfu kumi, na elfu marra elfu,


Nikasikia hesabu yao waliotiwa muhuri katika killa kabila ya wana wa Israeli, watu mia na arubaini na nne elfu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo