Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Ufunuo 9:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Na wana mikia kama ya nge, na palikuwa kama viumo katika mikia yao. Na nguvu yao kuwadhuru wana Adamu miezi mitano.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Walikuwa na mikia na miiba kama nge, na kwa mikia hiyo, walikuwa na nguvu ya kuwadhuru watu kwa muda wa miezi mitano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Walikuwa na mikia na miiba kama nge, na kwa mikia hiyo, walikuwa na nguvu ya kuwadhuru watu kwa muda wa miezi mitano.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Walikuwa na mikia na miiba kama nge, na kwa mikia hiyo, walikuwa na nguvu ya kuwadhuru watu kwa muda wa miezi mitano.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Walikuwa na mikia yenye miiba ya kuumia, kama nge. Nguvu yao ya kutesa watu kwa huo muda wa miezi mitano ilikuwa katika mikia yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Walikuwa na mikia yenye miiba ya kuumia kama nge. Nguvu yao ya kutesa watu kwa huo muda wa miezi mitano ilikuwa katika hiyo mikia yao.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 9:10
7 Marejeleo ya Msalaba  

au akimwomba yayi, atampa nge?


Kwa maana nguvu zao ni katika vinywa vyao; maana mikia vao ni mfano wa nyoka, ina vichwa, na kwa mikia hiyo wanadhuru.


Nzige wakatoka katika lile shimo, wakaenda juu ya inchi, wakapewa nguvu kama nguvu za nge wa inchi.


Wakapewa amri wasiwaue, bali wateswe miezi mitano. Na kuumwa kwao kulikuwa kama kuumwa na uge, aumapo mwana Adamu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo