Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 8:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Wakafa thuluth ya viumbe vilivyo katika bahari, vyenye uhayi: thuluth ya merikebu zikaharibiwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 theluthi moja ya viumbe vya baharini vikafa, na theluthi moja ya meli zikaharibiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 theluthi moja ya viumbe vya baharini vikafa, na theluthi moja ya meli zikaharibiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 theluthi moja ya viumbe vya baharini vikafa, na theluthi moja ya meli zikaharibiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 theluthi ya viumbe vyenye uhai vilivyoishi baharini vikafa, na theluthi ya meli zikaharibiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 theluthi ya viumbe vyenye uhai viishivyo baharini vikafa na theluthi ya meli zikaharibiwa.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 8:9
13 Marejeleo ya Msalaba  

Na mkia wake wakokota thuluth ya nyota za mbinguni na kuziangusha katika inchi.


Malaika wa pili akakimimina kichupa chake juu ya bahari, pakawa damu kama damu ya mfu, na vitu vyote vyenye roho va uhayi vikafa katika bahari.


Malaika wa tatu akapiga baragumu, nyota kubwa ikaanguka kutoka mbinguni, iliyokuwa ikiwaka kama taa, ikaanguka juu ya thuluth ya mito, na juu ya chemchemi za maji.


Malaika wa nne akapiga baragumu, thuluth ya jua ikapigwa, na thuluth ya mwezi, na thuluth ya nyota, illi ile thuluth itiwe giza, mchana usiangaze thuluth yake wala usiku vivyo hivyo.


Malaika wa kwanza akapiga baragumu, kukawa mvua ya mawe na moto vilivyotangamana na damu, vikatupwa juu ya inchi: thuluth ya miti ikateketea, majani mabichi yote yakateketea.


Wale malaika wane wakafunguliwa, waliowekwa tayari kwa ile saa na siku na mwezi na mwaka illi waue thuluth ya wana Adamu.


Thuluth ya wana Adamu wakauawa kwa matatu bayo, kwa moto huo na moshi huo na kiberiti hicho kilichotoka katika vinywa vyao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo