Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 8:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Na wale malaika saba wenye baragumu saba wakajifanya tayari illi wazipige.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Kisha, wale malaika saba wenye tarumbeta saba wakajiweka tayari kupiga mbiu ya mgambo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Kisha, wale malaika saba wenye tarumbeta saba wakajiweka tayari kupiga mbiu ya mgambo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Kisha, wale malaika saba wenye tarumbeta saba wakajiweka tayari kupiga mbiu ya mgambo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Basi wale malaika saba waliokuwa na zile tarumbeta saba wakajiandaa kuzipiga.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Basi wale malaika saba waliokuwa na zile tarumbeta saba wakajiandaa kuzipiga.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 8:6
2 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta siku ya kwanza ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi wake wakamwendea Yesu, wakamwambia, Wapi unataka tukuandalie uile pasaka?

Nikawaona malaika saba wasimamao mbele za Mungu, wakapewa baragumu saba.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo