Ufunuo 7:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Wa kabila ya Zabulon thenashara elfu. Wa kabila ya Yusuf thenashara elfu. Wa kabila ya Benyamin thenashara elfu waliotiwa muhuri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 kabila la Zebuluni, 12,000; kabila la Yosefu, 12,000; na kabila la Benyamini, 12,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 kabila la Zebuluni, 12,000; kabila la Yosefu, 12,000; na kabila la Benyamini, 12,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 kabila la Zebuluni, 12,000; kabila la Yosefu, 12,000; na kabila la Benyamini, 12,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 kutoka kabila la Zabuloni elfu kumi na mbili, kutoka kabila la Yusufu elfu kumi na mbili, na kutoka kabila la Benyamini elfu kumi na mbili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 kutoka kabila la Zabuloni 12,000, kutoka kabila la Yusufu 12,000, na kutoka kabila la Benyamini 12,000. Tazama sura |