Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 7:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Wa kabila ya Naftali thenashara elfu. Wa kaliila ya Manasse thenashara elfu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 kabila la Asheri, 12,000; kabila la Naftali, 12,000; kabila la Manase, 12,000;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 kabila la Asheri, 12,000; kabila la Naftali, 12,000; kabila la Manase, 12,000;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 kabila la Asheri, 12,000; kabila la Naftali, 12,000; kabila la Manase, 12,000;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 kutoka kabila la Asheri elfu kumi na mbili, kutoka kabila la Naftali elfu kumi na mbili, kutoka kabila la Manase elfu kumi na mbili,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 kutoka kabila la Asheri 12,000, kutoka kabila la Naftali 12,000, kutoka kabila la Manase 12,000,

Tazama sura Nakili




Ufunuo 7:6
3 Marejeleo ya Msalaba  

Kulikuwa na Auna, nabii mke, binti Fanueli, wa kabila ya Asher; nae kongwe wa siku nyingi, amekuwa na mume miaka saba baada ya ujana wake;


Wa kabila ya Yuda thenashara elfu waliotiwra muhuri. Wa kabila ya Reuben thenashara elfu. Wa kabila ya Gad thenashara elfu. Wa kablia ya Asher thenashara elfu.


Wa kabila ya Sumeon thenashara elfu. Wa kabila ya Lawi thenashara elfu. Wa kabila ya Issakar thenashara elfu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo