Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 7:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Nikasikia hesabu yao waliotiwa muhuri katika killa kabila ya wana wa Israeli, watu mia na arubaini na nne elfu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Kisha, nikasikia idadi ya hao waliopigwa mhuri: Watu 144,000 wa makabila yote ya watu wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Kisha, nikasikia idadi ya hao waliopigwa mhuri: Watu 144,000 wa makabila yote ya watu wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Kisha, nikasikia idadi ya hao waliopigwa mhuri: Watu 144,000 wa makabila yote ya watu wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Ndipo nikasikia idadi ya wale waliotiwa muhuri: elfu mia moja na arobaini na nne kutoka makabila yote ya Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Ndipo nikasikia idadi ya wale waliotiwa muhuri: yaani 144,000 kutoka makabila yote ya Israeli.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 7:4
17 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamwambia, Amin, nawaambieni, ya kwamba ninyi mlionifuata, katika zamani za kuzaliwa upya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti thenashara, mkiwahukumu kabila thenashara za Israeli.


Yule mtumishi akasema, Yamekwisha kutendeka hayo uliyoniagiza na ingaliko nafasi.


mpate kula na kunywa mezani pangu katika ufalme wangu, na kuketi katika viti vya enzi, mkiwahukumu kabila thenashara za Israeli.


ambayo kabila zetu thenashara wanataraja kuifikia, wakimkhudumu Mungu kwa bidii mchana na usiku. Nami ninashitakiwa na Wayahudi kwa ajili ya tumaini hilo, ee Mfalme.


Isaya nae atoa santi yake juu ya Israeli, Hesabu ya wana wa Israeli, ijapokuwa kama mchanga wa bahari, ni mabaki yao tu watakaookolewa.


YAKOBO, mtumwa wa Mungu, na Bwana Yesu Kristo, kwa kabila thenashara zilizotawanyika, salamu,


NIKAONA, na tazama, Mwana kondoo amesimama juu ya mlima Sayuni, na watu mia na arubaini na nne elfu pamoja nae, wenye jina la Baba yake limeandikwa katika vipaji vya nyuso zao.


nao waimba wimbo niliouona kuwa mpya mbele ya kili cha enzi, na mbele ya wale nyama wane wenye uhayi, na wale wazee; na hapana mtu aliyeweza kujifunza uimbo ule illa wale mia na arubaini na nne elfu walionunuliwa katika inchi.


Wa kabila ya Yuda thenashara elfu waliotiwra muhuri. Wa kabila ya Reuben thenashara elfu. Wa kabila ya Gad thenashara elfu. Wa kablia ya Asher thenashara elfu.


Na hesabu ya majeshi ya wapanda farasi elfu ishirini marra elfu kumi; nikasikia hesabu vao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo